skip to content

Pamoja tunaweza kuokoa maisha!

Ikiwa mtu…

amepoteza ufahamu? hawezi kupumua

kwa kawaida?

Ni wakati wa kutenda! Sekunde zote ni muhimu.

Ni juu yetu sote kuweza kupata mafunzo jinsi ya

kuokoa maisha kwa

njia 3 rahisi:

1: WITO

Piga simu kwa Ziro

Tatu (000) sasa.

Mpokeaji wa

simu ataweza

kukuongelesha

kuhusu CPR na

utumiaji wa

defibrillator (AED).

2: SUKUMA

Sukuma kwenye kifua

kati ya chuchu.

Sukuma

kwa nguvu.

Shinikiza haraka.

3: SHTUA

Ikiwa inapatikana,

washa defibrillator

(AED) na ufuate

maagizo.

Downloads